History
Icon-add-to-playlist Icon-download Icon-drawer-up
Share this ... ×
...
By ...
Embed:
Copy

Hadithi ya Chui mla maharage inatokana na kisa cha ukweli kilichotokea katika sehemu moja huko nchini Tanzania.
Karibuni.

[PLAY]

Hadithi ya Mfalme Kigongo ni mojawapo ya Hadithi za Mama na Mwana toka Radio Tanzania. Kwa nakala ya hadithi hii na nyinginezo wasiliana na Radio Tanzania Dar es Salaam.

[PLAY]

[PLAY]

Hadithi hii imetafsiriwa kwenda katika kiswahili kwa ajili ya podcast ya Hadithi Hadithi

[PLAY]

Hadithi ya Siri Binti Mfalme ni mojawapo ya Hadithi za Mama na Mwana toka Radio Tanzania. Kwa nakala ya hadithi hii na nyinginezo wasiliana na Radio Tanzania Dar es Salaam.

[PLAY]

Hadithi ya Siri Binti Mfalme ni mojawapo ya Hadithi za Mama na Mwana toka Radio Tanzania. Kwa nakala ya hadithi hii na nyinginezo wasiliana na Radio Tanzania Dar es Salaam.

[PLAY]

Hadithi hii imetafsiriwa toka katika lugha ya kiingereza kwa ajili ya podomatic ya Hadithi Hadithi.
Asante kwa kutusikiliza na karibuni tena.

[PLAY]

Hadithi hii imetafsiriwa kwenda katika kiswahili kwa ajili ya podcast ya Hadithi Hadithi

[PLAY]

Karibuni tena katika kipindi chetu cha Hadithi Hadithi. Leo tumewatayarishia hadithi ya Sungura na Mama mwenye shamba.
Katika kabila la Kirimi, Sungura anatambulika kama mnyama mjanja na mwenye mbinu za kuweza kujitoa katika matatizo mbalimbali na wakati mwingine huweza kuwasaidia watu wenye matatizo kwa kutumia ujanja wake.
Hii ni moja ya hadithi tulizosimuliwa tukiwa watoto.

[PLAY]

Hadithi ya Mbalamwezi Nyota Begani ni mojawapo ya Hadithi za Mama na Mwana toka Radio Tanzania. Kwa nakala ya hadithi hii na nyinginezo wasiliana na Radio Tanzania Dar es Salaam.

[PLAY]

Next Page